http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Nisha Baby akanusha kuwa na mahusiano na hawa wasanii wanne wakubwa….


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwigizaji wa filamu Tanzania Salma Jabu Aka Nisha Baby ambaye hivi karibuni amekuwa kwenye vichwa vya habari baada ya taarifa za ujauzito ...

Timbulo alikuwa anafanya kazi hii kabla ya kuanza muziki..soma hapa kuijua.
Stereo ataja mambo yanayowaponza wasanii wa hip hop,soma hapa kuyafahamu..
Hivi ndivyo Chidi Benz alivyo fafanua kauli yake ya kusema hakuna rapa wa Bongo aliyefikia mafanikio yake


Mwigizaji wa filamu Tanzania Salma Jabu Aka Nisha Baby ambaye hivi karibuni amekuwa kwenye vichwa vya habari baada ya taarifa za ujauzito wake kusambaa mitandaoni.

Nisha Ni mjamzito ila mpaka sasa hajataja baba wa mtoto wake ni nani ila alichoweza kusema ni kuwa ‘Hawako pamoja tena’ na ‘Mimba ilitokea baada ya kufanya ngono bila kupanga’.

Kwenye #FridayNiteLive na #Sammisago Nisha amekanusha kuwahi kuwa na mahusiano na wasanii Rich Mavoko, Ben Pol, Rayvanny na Nuh Mziwanda.


Nuh Mziwanda


Rayvanny


Rich Mavoko


Ben Pol

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Nisha Baby akanusha kuwa na mahusiano na hawa wasanii wanne wakubwa….
Nisha Baby akanusha kuwa na mahusiano na hawa wasanii wanne wakubwa….
http://i2.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/12/20161202_222150.jpg?resize=640%2C385
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/nisha-baby-akanusha-kuwa-na-mahusiano.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/nisha-baby-akanusha-kuwa-na-mahusiano.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy