http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Producer wa Aiyola ya Harmonize,afunguka kwanini hayupo chini ya WCB.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Producer Maximizer ambaye ametayarisha wimbo wa Aiyola wa Harmonize amefunguka sababu za yeye kutokuwa chini ya Label ya WCB inayomsimam...

New Video: Chege & Temba ft Emmy Wimbo – Go Down
Video: Harmorapa Ft Juma Nature – Kiboko ya Mabishoo
Angalia Msanii Mkubwa Marekani Will Smith Alivyotua Bongo Kimya Kimya na Kujichimbia Zake Katika Mbuga ya Serengeti Akila Bata na Kushangaa Tembo..!!!
Producer Maximizer ambaye ametayarisha wimbo wa Aiyola wa Harmonize amefunguka sababu za yeye kutokuwa chini ya Label ya WCB inayomsimamia msanii huyo kama watu wengi walivyotarajiwa.
Akizungumza kwenye moja ya mahojiano yake na Planet Bongo Maximizer amedai kwamba label hiyo haikuweza kutimiza vigezo vya mkataba ambao yeye alikuwa anautaka.
Unajua mimi ni producer ninayejielewa,sitaki nifanye nyimbo halafu mwisho wa siku unabaki tu kama ulivyo,kuhusu Wasafi kuna mikakati(ya kwenye mkataba) ambayo mimi niliwapa ambayo ni siri kidogo,mwisho wa siku nikashindwana nao lakini nikawaambia kama kuna kazi yoyote kutoka Wasafi nitaifanya ndio maana sasa hivi nafanya nao project nyingi tu” alifunguka Maximizer.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Producer wa Aiyola ya Harmonize,afunguka kwanini hayupo chini ya WCB.
Producer wa Aiyola ya Harmonize,afunguka kwanini hayupo chini ya WCB.
http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/maxx.png?resize=590%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/producer-wa-aiyola-ya-harmonizeafunguka.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/producer-wa-aiyola-ya-harmonizeafunguka.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy