http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Rapa watano wakali wa Madee hawa hapa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Madee (Kushoto) akiwa na Fid Q Rapa Madee leo amefunguka na kutaja wasanii wa Hip hop watano ambao anawakubali na anapenda kuwasik...

Alikiba Na Diamond Waendelea Kuchuana Vikali YOUTUBE
Tazama Alicho kipost Diamond muda mfupi baada ya Alikiba kuachia wimbo wake
Video: Alikiba aachia video yake mpya ya ‘Seduce Me’, itazame hapa




Rapa Madee leo amefunguka na kutaja wasanii wa Hip hop watano ambao anawakubali na anapenda kuwasikiliza mara kwa mara na kusema mtu wa kwanza ambaye yeye siku zote huwa anapenda kazi zake pia huwa anapenda kupata ushauri wake siku zote ni Fid Q.

Madee anasema ukimtoa Fid Q wasanii wengine ambao anawakubali na kupenda kazi zao kutoka Bongo ni pamoja na Mzee wa Dume Suruali Mwana FA, Mr Blue, Roma Mkatoliki pamoja na God Zillah. Mbali na hilo Madee anasema yeye amejiwekea utaratibu wa kubadili aina ya muziki wake kila baada ya miaka mitano, ili kwenda sawa na soko la muziki la wakati huo na kusema ameamua kufanya hivyo sababu muziki wa sasa unahitaji ujanja ujanja ili mambo yaweze kwenda.

Credity..................................eatv

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Rapa watano wakali wa Madee hawa hapa
Rapa watano wakali wa Madee hawa hapa
http://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2017/01/23/madee%20na%20Fid.JPG?itok=5wHoL4pN×tamp=1485178111
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/rapa-watano-wakali-wa-madee-hawa-hapa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/rapa-watano-wakali-wa-madee-hawa-hapa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy