http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Harmonize kataja label anazozifikiria kama ataondoka WCB…


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwimbaji staa wa Bongofleva Harmonize kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM amefunguka na kudai kuwa mipango yake ni kufanya kazi label kubwa ka...

Umeisikia Hii ya Vanessa Mdee,Afunguka Siri ya Mafanikio Yake..!!!
Darleen aweka wazi mahusiano yake na Alikiba
Mtoto wa Mbunge Anaswa Usiku na Golikipa Timu ya Mtibwa Sugar


Mwimbaji staa wa Bongofleva Harmonize kupitia 255 ya XXL ya Clouds FM amefunguka na kudai kuwa mipango yake ni kufanya kazi label kubwa kama Young Money au Roc Nation endapo ataondoka WCB.

Harmonize amesema WCB ni moja ya label zinazofanya vizuri Afrika hivyo hawezi kutoka kwenye label hiyo na kwenda kwenye label nyingine ndani ya Afrika badala yake atakwenda kimataifa zaidi ingawa kwa sasa ana malengo ya kuifanya WCB iwe kubwa.

>>>“Lengo langu ni kuifanya WCB iwe kubwa, ifike mbali panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu na support ya watanzania lakini ikitokea kufanya kazi na Label nyingine na wish label yoyote tunayoweza kufanya kazi vizuri kama Roc Nation au Young Money. Siwezi kutoka WCB nikaenda label nyingine. Ukizungumzia WCB ni label kubwa Afrika. kwa hiyo, nikitoka Afrika may be Roc Nation au Young Money.” – Harmonize

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Harmonize kataja label anazozifikiria kama ataondoka WCB…
Harmonize kataja label anazozifikiria kama ataondoka WCB…
https://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/06/wq.png?resize=531%2C341
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/harmonize-kataja-label-anazozifikiria.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/06/harmonize-kataja-label-anazozifikiria.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy