http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Taarifa Kuhusu Ali Kiba Kuiba Wimbo wa Seduce..Mwenyewe Afunguka


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanamuziki Ali Salehe Kiba amepangua tuhuma za kuiba wimbo unaosumbua kwa sasa mtaani 'Seduce Me ' na kusema kuwa katu kitu kama ...

TAZAMA ALICHOKIPOST DIAMOND INSTAGRAM BAADA YA KUMKUBALI MTOTO WAKE KWA HAMISA
Mangekimabi aja na mazito baada ya Diamond kumkubali Mwanae.
Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu
Mwanamuziki Ali Salehe Kiba amepangua tuhuma za kuiba wimbo unaosumbua kwa sasa mtaani 'Seduce Me ' na kusema kuwa katu kitu kama hicho hakitaweza kikatokea kwenye maisha yake na kuwatoa hofu mashabiki zake wasiumizwe na maneno kwani anajiamini.

Alikiba amelazimika kupangua tuhuma hizo baada ya kuwepo na maneno mitandaoni ya kwamba wimbo wa 'Seduce Me' uliotengenezewa na mtayarishaji Man Water umfanyiwa 'copy' kutoka kwenye wimbo ulioimbwa na kwa lafudhi ya kiharabu .

"Siyo kweli kama nimeiba wimbo. Hicho ni kitu ambacho sijawahi kufanya na hakitaweza kutokea kwenye maisha yangu yote kwa sababu najiamini. Nawaomba mashabiki zangu waendelee kufurahia muziki mzuri. Duniani kote nyimbo ambazo zimefanya vizuri zimetengenezewa 'cover' nyingi sana, hivyo ndivyo ilivyotokea kwenye wimbo wangu kwahiyo nawasihi mashabiki zangu wasiogope kwa kudhani nimeiba wimbo wa mtu" alisema Alikiba.

Pamoja na hayo Alikiba amewasihi mashabiki zake wasiwe na hofu kwani hawezi kukaa kimya kwa muda mrefu kwani mwaka huu amepanga kuwafurahisha na pindi watakapokuwa wanataka ngoma mpya wasisite kumtaarifu ili aachie kazi nyingine mpya.

Kwa sasa Alikiba anasumbua na ngoma inayokwenda kwa jina la 'Seduce Me' iliyotoka Agosti 25 ambapo mpaka sasa inawatazamaji zaidi ya milioni 4 katika mtandao wa YouTube kupitia account yake ya 'Vevo'.

                                                 TOA MAONI YAKO

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Taarifa Kuhusu Ali Kiba Kuiba Wimbo wa Seduce..Mwenyewe Afunguka
Taarifa Kuhusu Ali Kiba Kuiba Wimbo wa Seduce..Mwenyewe Afunguka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgigqORrEUspsuQF4TUcNRnf6bXdNqoB7jNb7-4kpyj6mW8URWofQyVZENtbLoWgn0zHU_8GHovvyuCTTf_K2NixBuTlfZt1gjoKtuMd63xJtILwdmEnnqd4LXF3iYcHnHT6lHcZ_HhJm6L/s640/93.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgigqORrEUspsuQF4TUcNRnf6bXdNqoB7jNb7-4kpyj6mW8URWofQyVZENtbLoWgn0zHU_8GHovvyuCTTf_K2NixBuTlfZt1gjoKtuMd63xJtILwdmEnnqd4LXF3iYcHnHT6lHcZ_HhJm6L/s72-c/93.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/taarifa-kuhusu-ali-kiba-kuiba-wimbo-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/taarifa-kuhusu-ali-kiba-kuiba-wimbo-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy