Hii video mpya ya Gucci Mane “No Sleep” akiw ana mastaa kama Mike WiLL Made-It na Young Thug. July 22, Gucci atatoa album mpya baada ya...
Hii video mpya ya Gucci Mane “No Sleep” akiw ana mastaa kama Mike WiLL Made-It na Young Thug. July 22, Gucci atatoa album mpya baada ya Miaka Mitano iliyopewa jina Everybody Looking, ikiwa na wasanii kama Drake, Kanye West, na Thugger.