Ikiwa ni siku chache baada ya Msanii wa hip hop na msomi Nikk wa pili kuachia video yake mpya ya Sweet Mangi aliyoifanyia Afrika Kusini,...
Ikiwa ni siku chache baada ya Msanii wa hip hop na msomi Nikk wa pili kuachia video yake mpya ya Sweet Mangi aliyoifanyia Afrika Kusini,baadhi ya ya mashabiki wameonyesha kutofurahishwa kutokana na Chin bees kutooneka kwenye video hiyo.
Wakitoa maoni yao juu ya video hiyo ambayo nafasi ya chorus aliyoimba Chin Bees ameonekana G.Nako,baadhi ya mashabiki wameona kitendo hicho ni kama kumbania msanii huyo ambaye kwa sasa anakuja kwa kasi,baadhi ya comment za mashabiki zilisomeka kama ifuatavyo…
dmageziofficialBrother: nick mambo vp ndgu,,, kazi nzuri tena sana tu ila sijapenda kwa kitendo cha kumpa G NAKO sehemu ya chorus aliyoiimba CHEEN BIZ hiyo yote mkiitaka kumwalibia Dogo ujio wake,, ivi nikweli mlikosa gharama za kumpeleka Dogo SOUTH kushiriki kwenye Video kufanya iyo ngoma!!!! Ila nimakusudi tu nakumpa kipande chake MTU Mwingine kabisa wakati nyimbo haimhusu!;; mkijua ujio wa dogo utamfunika G NAKO hatosikika!!! Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!!! Upo wapi umuhimu wa elimu yako brooo!!! Aiko poa hata kidogo,, nyimbo nyingi hit za saiz dogo amewafanyia kweli bila kinyongo afu mmetoka nae sehemu moja,,, UMETELEZA BRO…
dmageziofficial:Even if bro!!! There’s no strong reason ya kusababisha chin bees kutokushiriki on dat video kaka..,aliandika mmoja wa mashabiki ambapo nikk wa pili alijitokeza na kumjibu kama ifuatavyo..
nikkwapili:@dmageziofficial kwan wewe unafaham nini kuhusu chin bees kutokuwapo ????
nikkwapili:@dmageziofficial kwan wewe unafaham nini kuhusu chin bees kutokuwapo ????
nikkwapili:@dmageziofficila wewe umejuaje kama hamna sababu…au ww mganga
Aliandika,Nikk wa Pili,Endelea kuwa karibu na SamMisago.Com ili kupata sababu ya Chin Bees kutoonekana kwenye video hiyo ya Sweet Mangi.