http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Diamond afunguka kilimchomfanya amsaidie Chid Benz,soma hapa kujua..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii nyota wa bongo fleva nchini ,Diamond Platnumz amefunguka sababu inayomfanya awe mstari wa mbele kumsaidia Msanii Chid Benz ambaye...

Shavu kubwa,2 Chainz anarekodi mixtape ya pamoja na Drake.
Nay Wa Mitego amefunguka kama atabadilisha style yake ya muziki ili kuwakwepa BASATA,fahamu alichosema hapa..
Darassa adai harakati za muziki zinampa wakati mgumu kwa watu wake wa karibu,fahamu zaidi hapa..
Msanii nyota wa bongo fleva nchini ,Diamond Platnumz amefunguka sababu inayomfanya awe mstari wa mbele kumsaidia Msanii Chid Benz ambaye hivi karibuni aliathirika na matumizi ya madawa ya kulevya.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa radio Diamond alielezea jinsi alivyokutana na Chid kwa mara ya kwanza na kumwomba kolabo kipindi ambacho Chid Benz alikuwa ana hit kila kona lakini hakumzungusha wala kumtoza hata shilingi kitu ambacho yeye anaona ni kikubwa sana kwake.
“Mimi nilimwomba Chid Kolabo, kipindi hicho ana hit kila kona, hakunitoza hata shilingi kumi wala hakunizungusha hata kidogo, ndio maana linapokuja suala la Chidi nakuwa wa kwanza. Wakati namfuata Chidi,nikajua atanikatalia kwanza mimi mbana pua, lakini hakunizungusha na wala hakuniomba hata mia“, alisema Diamond Platnumz.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Diamond afunguka kilimchomfanya amsaidie Chid Benz,soma hapa kujua..
Diamond afunguka kilimchomfanya amsaidie Chid Benz,soma hapa kujua..
http://i0.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/08/Mond-on-Chid.jpg?resize=630%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/diamond-afunguka-kilimchomfanya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/diamond-afunguka-kilimchomfanya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy