Chris Brown Mwanamuziki Chris Brown amesema kuwa alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla ya tuzo za Gra...
Mwanamuziki Chris Brown amesema kuwa
alitaka kujiua baada ya kumshambulia aliyekuwa mpenziwe Rihanna kabla
ya tuzo za Grammy mwaka 2009.
''Nilikuwa katika kilele cha dunia,nyimbo zangu zikiongoza,nikapendwa na wengi nchini Marekani kabla ya kuanguka hadi kuwa adui wa uma'',alisema.
![]() |
Chris Brown na Rihanna |
Kifungo hicho kilisitishwa mwaka jana baada ya jaji moja kusema kuwa nyota huyo amekamilisha mahitaji yake yote na kufunga kesi hiyo rasmi.
![]() |
Rihana |
''Nilikuwa nikilala.Sikuweza kula,nilijihisi maarufu'',alikiri.