http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

(Audio) Majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwimbaji staa Diamond Platnumz ambaye Weekend hii yupo Kenya kwenye show amefunguka akisema kuwa hatopenda mtoto wake wa kike Tiffa awe m...

Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu
ALICHOPOST ZARI BAADA YA KUSAMBAA PICHA ZA DIAMOND NA HAMISA MOBETTO WAKIWA PAMOJA
DIAMOND:Mpaka mtoto anazaliwa nilikuwa nampa Hamisa 70000 Kila siku nikamnunulia na Rav 4........


Mwimbaji staa Diamond Platnumz ambaye Weekend hii yupo Kenya kwenye show amefunguka akisema kuwa hatopenda mtoto wake wa kike Tiffa awe mwanamuziki akihofia kufuatwa sana na wanaume kitu ambacho kitamuumiza.

Akifanya interview moja nchini humo, licha ya kutotaka Tiffa awe mwanamuziki Diamond amesema pia kuwa atafurahi zaidi kama mtoto wake wa kiume akiwa staa wa muziki kama yeye.

“Mwanamke ni kweli anatongozwa na watu tofauti ila unapokuwa msanii unajulikana na wengi kwahiyo ukijulikana na wengi kutongozwa kuna kuwa kwingi pia sasa wataniuwa kwa pressure.” – Diamond.

Aidha, katika interview hiyo Diamond aliugusia pia kuhusu kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mume wa Zari ambaye sasa ni mpenzi wake, Ivan Semwanga ‘Ivan Don’ aliyefariki dunia siku chache zilizopita akisema haikuwa rahisi kuahirisha show akisema akitoka kwenye show Kenya atapitia Uganda kwenye mazishi hayo kabla ya kurudi Tanzania.

“Ilikuwa ni wakati mgumu na nilikuwa nimewekewa oda na msiba ukawa umetokea kwahiyo ku-cancel ghafla show ya watu inaweza ikawa taswira tofauti, sikuwa na jinsi lakini niliongea na mzazi mwenzangu akanielewa….. nikimaliza show hapa nitaenda Uganda kuzika halafu nitarudi nyumbani.” – Diamond.

Msikilize zaidi Diamond kwa hapa kwa kubonyeza PLAY hapa chini!!!

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : (Audio) Majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake.
(Audio) Majibu ya Diamond kuhusu kuhudhuria msiba wa Ivan, watoto wake.
https://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2017/05/pjimage-22-1.jpg?resize=660%2C400
https://i.ytimg.com/vi/iReISUkmUF4/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/audio-majibu-ya-diamond-kuhusu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/audio-majibu-ya-diamond-kuhusu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy