Msanii Rich Mavoko ametambulishwa rasmi kuwa chini ya lebel ya WCB Ya Diamond Platnumz June 2 2016 na kuachia wimbo na video mpya. Wimbo...
Msanii Rich Mavoko ametambulishwa rasmi kuwa chini ya lebel ya WCB Ya Diamond Platnumz June 2 2016 na kuachia wimbo na video mpya. Wimbo unaitwa ‘Ibaki Story’ na video imefanyika Johannesburg South Africa.