Msanii wa R&B Tanzania Jux amemtaja Bob Manecky kama producer ambaye anamkubali zaidi kwa Bongo. Akiongea kwenye kip...
Msanii wa R&B Tanzania Jux amemtaja Bob Manecky kama producer ambaye anamkubali zaidi kwa Bongo.
Akiongea kwenye kipindi cha The Base cha ITV ,Jux amesema kuwa Bob n i producer anayemjulia zaidi na mara zote huenda na hisia zake anapotengeneza ngoma.
bob manecky
“Bob ni moja ya producer ambao nawaamini,nikitaka kutengeneza nyimbo za hisia au za kulalamika mtu wa kwanza kichwani anakuja yeye,ni mtu ambaye anajua kitu gani mimi nataka” alifunguka Jux kuhusiana Bob Maneck ambaye ameshafanya nae ngoma kama nitasubiri.sisikii,uzuri wako na wivu.