http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Joh Makini adai yeye ndiye ‘the Most expensive rapper in East Africa’ kwa sasa.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa hip hop kutokea kundi la Weusi Joh Makini amefunguka na kusema kuwa yeye ndiye rapper anayelipwa zaidi “the most expensive rap...

Beyoncé asitisha kufanya show baada ya maagizo haya ya daktari.
Ice Cube ajibu tuhuma za filamu ya Straight Outta Compton kusababisha kifo cha meneja wa NWA Jerry Heller.
Kionjo cha All The Way Up Remix ya Diamond Platnumz.
Msanii wa hip hop kutokea kundi la Weusi Joh Makini amefunguka na kusema kuwa yeye ndiye rapper anayelipwa zaidi “the most expensive rapper” kwa sasa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki.
Joh alisema hayo akiwa anajibu swali kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachuruka  kupitia East Afrca radio baada ya mtangazaji kutaka kujua kama uwekezaji anaoufanya kwenye muziki unamlipa.
..I’m getting money,napiga shows,shows zangu ni ghali,the most expensive rapper in East Africa now.Napiga deals kubwa naenda coke studios na sehemu zingine,that’s money bro” alijibu Joh Makini.
Source:East Africa Radio

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Joh Makini adai yeye ndiye ‘the Most expensive rapper in East Africa’ kwa sasa.
Joh Makini adai yeye ndiye ‘the Most expensive rapper in East Africa’ kwa sasa.
http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/joh-makin.png?resize=612%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/joh-makini-adai-yeye-ndiye-most.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/joh-makini-adai-yeye-ndiye-most.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy