Hatimaye Msanii Alikiba ameanzisha Kinywaji chake kiitwacho king alikiba enegy.Kinywaji hicho kisicho na kilevi bali husaidia kuchangamsh...
Hatimaye Msanii Alikiba ameanzisha Kinywaji chake kiitwacho king alikiba enegy.Kinywaji hicho kisicho na kilevi bali husaidia kuchangamsha mwili pale unapochoka.Bado haijajulikana ni lini Rasmi atakizindua na kukitambulisha rasmi