Nywele za kijani ambazo Ben Pol amekuwa akionekana nazo siku za hivi karibuni zimeonekana kutowafurahisha mashabiki wengine. Lakini, huen...
Nywele za kijani ambazo Ben Pol amekuwa akionekana nazo siku za hivi karibuni zimeonekana kutowafurahisha mashabiki wengine. Lakini, huenda kijani chake kichwani kikawa kimempa mchongo wa kueleweka.
Kumbe ilikuwa ni katika kuingia mkataba na kampuni mpya ya mawasiliano ijulikanayo kama GreenTelecom