http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Jinsi Jux alivyoipuuzia diss ya Young Killer,ipi hiyo?Isome hapa.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa hip hop Tanzania Young Killer amewahi kunukuliwa kwenye moja ya mistari yake akisema “Jux china hasomi bali ananunua nguo”. ...

Kundi la The Lox lasajiliwa na lebo ya Jay Z.
Nisha Baby akanusha kuwa na mahusiano na hawa wasanii wanne wakubwa….
MPAMBANO WA LEYLA RASHID NA ISHA MASHAUZI JUMAMOSI HII
Msanii wa hip hop Tanzania Young Killer amewahi kunukuliwa kwenye moja ya mistari yake akisema “Jux china hasomi bali ananunua nguo”.
Watu wengi walikuwa na shauku ya kutaka kusikia Jux atajibu vipi kuhusu tuhuma za Young Killer.Alipoulizwa kuhusiana na mstari huo wa Young Killer kwenye kipindi cha Planet Bongo kupitia East Africa radio,Jux alisema haoni sababu ya kuuzungumzia mstari huo kwani anaona ni ujinga.
Hiyo ishu ya Msodoki siwezi kujibu,sio kitu cha mimi kukijibu.Naona ni kitu cha kijinga” alisema Jux akijibu maswali yaliyoulizwa na mashabiki kupitia kipindi hicho.
Source:EA Radio

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Jinsi Jux alivyoipuuzia diss ya Young Killer,ipi hiyo?Isome hapa.
Jinsi Jux alivyoipuuzia diss ya Young Killer,ipi hiyo?Isome hapa.
http://i1.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/jux-na-young-killer.jpg?resize=660%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/jinsi-jux-alivyoipuuzia-diss-ya-young.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/jinsi-jux-alivyoipuuzia-diss-ya-young.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy