http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Bill Nas adai hajawai kumtamani Shilole,asema anamwona kama mshkaji wake wa kiume,soma zaidi hapa.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rapper Bill Nas ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Chafu Pozi amekanusha ...

Video: Diamond Aweka Sanamu za Mafuvu ya Watu Ofisini Kwake, Je ni Ishara ya ‘Kifreemasons’ ?
ZariTheBossLady Amtaja Ivan kwenye Post Moja na Diamond Platnumz
Beef ya Joe Budden na Drake inaendelea, P Diddy naye kavutwa humo.


Rapper Bill Nas ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Chafu Pozi amekanusha tetesi za kuwa anatoka kimapenzi na staa wa kike wa Bongo Fleva na filamu,Shilole.
Akijibu swali hilo kwenye moja ya mahojiano yake rapper huyo amedai kuwa hajawai kumtamani Shilole licha ya kuwa huwa wanashinda wote siku nzima kitu kinachotafsiriwa vingine na watu na kuongeza kuwa yeye anamwona kama mshikaji wake wa kiume
Shilole ni mshikaji wangu wa siku nyingi hakuna chochote kinachoendelea,tuna hang out sana.Nikiwa nae najisikia kama niko na mchizi wangu kama mwanaume mwenzangu yaani kama dada yangu,sijawahi kumtamani wala sijawahi kumfikria hivyo..naweza kushinda naye siku nzima hata mpaka saa nane za usiku,nampeleka studio..” alifunguka rapper huyo na kudai kwa sasa hayuko kwenye mahusiano na mtu yeyote.
Source:Magic Fm

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Bill Nas adai hajawai kumtamani Shilole,asema anamwona kama mshkaji wake wa kiume,soma zaidi hapa.
Bill Nas adai hajawai kumtamani Shilole,asema anamwona kama mshkaji wake wa kiume,soma zaidi hapa.
http://i2.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/shishi-vs-bill-nas.png?resize=660%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/bill-nas-adai-hajawai-kumtamani.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/bill-nas-adai-hajawai-kumtamani.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy