Kundi la The Lox wamesajiliwa na lebo ya Jay Z ‘Roc Nation’. Wasanii Jadakiss, Styles P, na Sheek Louch wamesaini na Roc Nation na wanatoa...
Kundi la The Lox wamesajiliwa na lebo ya Jay Z ‘Roc Nation’. Wasanii Jadakiss, Styles P, na Sheek Louch wamesaini na Roc Nation na wanatoa album yao mpya Filthy America… It’s Beautiful.
Cd hii inatoka Dec. 16, ikiwa na wasanii kama Mobb Deep, Fetty Wap, na Gucci Mane, na imetayarishwa na DJ Premier, Pete Rock na wengine wengi.
FILTHY AMERICA… IT’S BEAUTIFUL TRACKLISTING
1. “Omen”
2. “Stupid Questions”
3. “What Else You Need to Know”
4. “The Family”
5. “The Agreement” feat. Fetty Wap & Dyce Payne
6. “Move Forward”
7. “Savior” feat. Dyce Payne
8. “Don’t You Cry”
9. “Hard Life” feat. Mobb Deep
10. “Filthy America”
11. “Bad Allegiance”
12. “Secure the Bag” feat. Gucci Mane & Infa-Red