http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Dayna Nyange afunguka sababu za yeye kutokuwa na management,hiki ndicho alichosema..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa bongo fleva Dayna Nyange ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Komela amefunguka kuwa kwa sasa anafanya kazi bila ...

Nay wa Mitego kuwashitaki BASATA?,hiki ndicho alichosema baada ya wimbo wake ‘Pale kati’ kufungiwa.
Kala Jeremiah adai radio nyingi zinabania kupiga nyimbo zenye ujumbe ndio maana wasanii wanaimba bata zaidi.
Jux asema kuwa anafanya muziki kwenye mazingira magumu,sababu zake hizi hapa.
Msanii wa bongo fleva Dayna Nyange ambaye kwa sasa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Komela amefunguka kuwa kwa sasa anafanya kazi bila kuwa na management yoyote.
Akiongea kwenye kipindi cha Power 180 cha sibuka FM, Dayna amesema mapungufu aliyokutana nayo kwenye management zake zilizopita zimemfanya afikie uamuzi huo wakusimamia kazi zake mwenyewe akidai kuwa mameneja wengi hawafuati mikataba.
Mameneja wengi hawafuati kilichoandikiwa kwenye mkataba,kama wapo ni wachache sana ndio maana mpaka leo mimi siko na management sio kwamba sikutani na watu wanaotaka kuni manage ila najua nilopotoka ,sitaki yale mapungufu ya mwanzo yajirudie“alisema Dayna.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Dayna Nyange afunguka sababu za yeye kutokuwa na management,hiki ndicho alichosema..
Dayna Nyange afunguka sababu za yeye kutokuwa na management,hiki ndicho alichosema..
http://i0.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/07/dayna.png?resize=404%2C400
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/dayna-nyange-afunguka-sababu-za-yeye.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/dayna-nyange-afunguka-sababu-za-yeye.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy