http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Roma na Dayna Nyange wamewahi kuwa wapenzi ? Roma amefunguka haya..


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Msanii wa Hip Hop Tanzania,Roma amefunguka kuhusu tetesi za yeye kuwahi kutoka kimapenzi na msanii wa kike Dayna Nyange baada ya wawili ...

Diamond apaswi kujiita simba – Darassa
TAZAMA HAPA 'BEHIND THE SCENE' YA FILAMU MPYA YA SIKULIJUA MWANZO...!!!!!
'Dume Suruali' ya Mwana FA na ‘Muziki’ ya Darassa Zachuana Vikali Youtube
Msanii wa Hip Hop Tanzania,Roma amefunguka kuhusu tetesi za yeye kuwahi kutoka kimapenzi na msanii wa kike Dayna Nyange baada ya wawili hao kuonekana kuwa karibu sana.
Akijibu tuhuma hizo kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa radio ,Roma amedai kuwa anamchukulia Dayna kama mdogo wake ambaye yuko naye karibu na hakuna mambo mengine yanayoendelea kati yao.
“Dayna ni mshikaji wangu,yaani kama mdogo wangu,niko nae karibu sana ndio maaana hata kwenye harusi yangu alikuwa anacheza sana..sema ndio hivyo ukishakuwa karibu na mtu fununu zinakuwa nyingi,achana na hizo fununu“alisema Roma ambaye aliingia rasmi kwenye ndoa miezi kadhaa iliyopita.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Roma na Dayna Nyange wamewahi kuwa wapenzi ? Roma amefunguka haya..
Roma na Dayna Nyange wamewahi kuwa wapenzi ? Roma amefunguka haya..
http://i2.wp.com/www.sammisago.com/wp-content/uploads/2016/08/roma-na-dyna.png?resize=651%2C391
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/roma-na-dayna-nyange-wamewahi-kuwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/08/roma-na-dayna-nyange-wamewahi-kuwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy