Mpenzi wa rapa Tyga amepokea zawadi nyingine ya kifahari kutoka kwa mpenzi wake. Rapa Tyga amempa Kylie Jenner gari mpya aina ya Maybach...
Tyga aliwasiliana na kampuni inayotoa magari kwa watu maarufu ya Richie Rich, na gari hio imelipiwa dola laki mbili na mbili na elfu ishirini.
Kylie anafikisha miaka 19 mnamo August 10.