Label ya Sony Music Africa, imemtunuku tuzo Alikiba baada ya video ya wimbo wake Aje kufikisha views milioni 5 kwenye mtandao wa Youtube. A...
Label ya Sony Music Africa, imemtunuku tuzo Alikiba baada ya video ya wimbo wake Aje kufikisha views milioni 5 kwenye mtandao wa Youtube.
Amepewa tuzo hiyo Ijumaa hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini kwenye makao makuu ya Sony Music Africa.
“What an incredible start to 2017! One month in and we’ve had the honour of presenting @officialalikiba an award for 5 million views of #AJE!
Alikiba anajipanga kuanza ziara yake ya kwanza nchini humo.