Christian Bella: Papa Wemba ni pengo lisilozibika Mwanamuziki wa Dance, Christian Bella Papa Wemba alitangaza vizu...
Christian Bella: Papa Wemba ni pengo lisilozibika
Mwanamuziki wa Dance, Christian Bella
Papa
Wemba alitangaza vizuri mziki wa DRC kama Rumba music na kuufanya mzuki
huo uweze kutambulika dunia nzima, hata hivyo Bella ameendelea kusema
ni pengo kubwa sana kumpoteza nguli huyo.
Bela amesema alifanikiwa kufanya naye show na ku-share stage moja mwaka 2008, ambapo alikuja Dar es salaam wakati huo Bella akiwa katika bendi ya Akudo na alipata mda wa kuongea naye mambo mengi
Bella anasema umri wake ulikuwa umesogea, kwa hiyo ni mipango ya Mungu.
Wemba alianguka jukwaani ghafla huko ABIDJAN na kupoteza uhai wake hapo hapo.