Imekuwa ni issue inayozua mijadala sana mitandaoni pale mastaa wanapokuwa na mwanamke fulani na kupelekea mwanamke huyo kuchora tattoo y...
Imekuwa ni issue inayozua mijadala sana mitandaoni pale mastaa wanapokuwa na mwanamke fulani na kupelekea mwanamke huyo kuchora tattoo ya jina la staa huyo.
Hichi ni kitu ambacho baadae huja kuwagharimu wanapoachana au kutengana, huyu mpenzi mpya wa Nuh Mziwanda naye kachora tattoo halisi ya jina la NUH MZIWANDA.