http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Bondia wa zamani Muhammad Ali almaarufu kama “The Greatest” afariki Dunia.


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Bingwa wa zamani wa Dunia wa ngumi za uzani wa juu (World Heavyweight Champion) anayeaminika kuwa mmoja kati ya Mabondia bora zaidi kuwa...

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda na Biashara Dkt. Kafumu na Makamu Vicky Kamata wajiuzulu sababu serikali inaingilia majukumu yao.
Ruge athibitisha Makonda kuivamia Clouds media akiwa na silaha
Ahadi tisa za Makonda 2016 alizofungia ‘kabatini’
Bingwa wa zamani wa Dunia wa ngumi za uzani wa juu (World Heavyweight Champion) anayeaminika kuwa mmoja kati ya Mabondia bora zaidi kuwahi kutokea Ulimwenguni, Muhammad Ali AKA “The Greatest” amefariki Dunia katika hospitali ya Phoenix-Area iliyopo Phoenix, Arizona alipokuwa amelazwa kwa matibabu baad aya kuugua ghafla siku chahce zilizopita.
Muhammad-Ali
Muhammad Ali ambaye ni Bingwa mara tatu wa ngumi za Uzani wa Juu amefariki dunia akiwa na umri wa Miaka 74, alistaafu ndondi za kulipwa mwaka 1981 baada ya kugundulika kuwa na ugojwa wa Parkinson (Parkinsons Disease) Mwaka 1984 na amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa huo hadi alipopatwa na mauti siku ya Ijumaa ‘3 June 2016’.
Mbali na ugonjwa huo pia Ali alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi pamoja na maambukizi katika njia ya mkojo.

Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi. Amina

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Bondia wa zamani Muhammad Ali almaarufu kama “The Greatest” afariki Dunia.
Bondia wa zamani Muhammad Ali almaarufu kama “The Greatest” afariki Dunia.
http://i1.wp.com/fahamutv.com/wp-content/uploads/2016/06/Muhammad-Ali-010.jpg?resize=620%2C372
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/bondia-wa-zamani-muhammad-ali-almaarufu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/06/bondia-wa-zamani-muhammad-ali-almaarufu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy