http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Vyama vyakacha kuwasilisha hesabu


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2014/15 iliyotolewa jana mjini hapa inaonesha kuwa kati ya vyama...

Mchungaji Akiponza Kituo cha Redio Chafungiwa na Kutozwa Faini ya Milioni 2
Padri akiuka miiko ya kikatoliki, atangaza ndoa
Kilichoendelea Leo Mahakamani Katika Kesi ya Tido Mhando


RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2014/15 iliyotolewa jana mjini hapa inaonesha kuwa kati ya vyama 22 vya siasa nchini vyenye usajili wa kudumu, ni chama kimoja pekee ndicho kilichowasilisha hesabu zake kwa ajili ya ukaguzi.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Profesa Mussa Asaad alitaja Chama cha Wananchi (CUF) , ndicho kimewasilisha hesabu zake kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Januari mwaka 2015 hadi Juni mwaka huo.

Alisema vyama vingine 21 vimeshindwa kufanya hivyo hali ambayo amemshauri Msajili wa vyama hivyo kufuatilia jambo hilo. “Ripoti hii inabainisha kwamba vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ni 22, lakini hadi Juni mwaka 2015, vyama vilivyowasilisha hesabu zao kwa ukaguzi ni chama kimoja tu cha CUF, sasa hivi vingine vimekiuka sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992”, alisema Profesa Asaad.

Akizungumzia udhaifu mwingine ambao umebainika katika ripoti hiyo Profesa Asaad aliweka hadharani Balozi mbalimbali za Tanzania nje, Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), Bohari Kuu ya Dawa (MSD) na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Vyama vyakacha kuwasilisha hesabu
Vyama vyakacha kuwasilisha hesabu
http://habarileo.co.tz/images/resized/images/frequent/freeman-mbowe1_210_120.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/vyama-vyakacha-kuwasilisha-hesabu.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/04/vyama-vyakacha-kuwasilisha-hesabu.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy