http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Breaking: Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda, Laua 3 – PICHA 19


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA lililodaiwa kup...

Majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi Karatu
BREAKING NEWS Habari Mbaya: Wanafunzi Zaidi ya 20 wahofiwa kufa katika ajali ya basi Karatu Arusha.
HARRY KITILYA NA WENZAKE WATAKA UPELELEZI UKAMILIKE


WATU watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA lililodaiwa kupata hitilafu katika mfumo wake wa breki kuwagonga.

Taarifa za ajali hiyo zinasema, ajali imetokea katika maeneo ya Boko Magengeni, leo Mei 7, 2018 ambapo inadaiwa lori hilo liliwaparamia watu waliokuwa pembezoni mwa barabara huku likisaga pikipiki kadhaa ambazo lilizipitia.

Kufuatia tukio hilo, RPC Kinondoni, Jumanne Murilo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema bado wanaendelea na uchunguzi kubaini chanzo hasa cha ajali hiyo.


Mbali na watu hao kupitiwa na roli hilo, zimo bodaboba na gari nyingine za abiria (coaster) ambazo zimepitiwa na lori hilo.

Pia inadaiwa wengine waliojeruhiwa ni wauza mitumba ambao hupanga kando ya barabara huku wengine wengi wakinusurika baada ya kukimbia walipoona ajali.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Breaking: Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda, Laua 3 – PICHA 19
Breaking: Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda, Laua 3 – PICHA 19
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2018/05/ajali-boko-2.jpg
https://i.ytimg.com/vi/ZuxogYy99fc/default.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/breaking-lori-la-mchanga-laparamia.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/breaking-lori-la-mchanga-laparamia.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy