http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi Karatu


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Wanafunzi 29 , walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha wamefariki dunia leo saa 3 asubuhi baada ya g...

Udukuzi: Simu milioni 900 za Android hatarini
Polisi wazuia ghafla mkutano wa CHADEMA Chalinze........Mbowe Asema Wapo Tayari Kufa Kwa Kupigania Demokrasia
Mama Mwenye VVU Pamoja na mtoto wake wakutwa wamekufa mlimani

Wanafunzi 29 , walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha wamefariki dunia leo saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.


Wanafunzi na walimu hao walikuwa wakitoka shuleni kwao kwenda shule ya msingi iitwayo Tumaini kwa ajili ya kufanya mtihani wa ujirani mwema na walipofika katika eneo la Rhotia Marera basi walilopanda liliacha njia na kisha kutumbukia korongoni ambako limesababisha vifo hivyo na majeruhi watatu.


Hapa chini ni majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali hiyo




Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi Karatu
Majina ya wanafunzi waliofariki katika ajali ya basi Karatu
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrZtuPpSyJErlq8fNBOhZt-iQ583aIq4gC_8LejT0VHHFP3qI6Dl53V_4JuHtgPcM9YMjpVBgFGXv9E2zX3h6Th41sM7tdb9GJO5nW1iTVIQcQSh0lCoBBT_Cy45B0ZLY7TD2Nw-TuCQuE/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhrZtuPpSyJErlq8fNBOhZt-iQ583aIq4gC_8LejT0VHHFP3qI6Dl53V_4JuHtgPcM9YMjpVBgFGXv9E2zX3h6Th41sM7tdb9GJO5nW1iTVIQcQSh0lCoBBT_Cy45B0ZLY7TD2Nw-TuCQuE/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/majina-ya-wanafunzi-waliofariki-katika.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/05/majina-ya-wanafunzi-waliofariki-katika.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy