http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mwanamuziki Dullah Makabila Akabiliwa na Kesi ya Kubaka..Mwenyewe Akanusha


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanamuziki wa Singeli nchini, Dullah Makabila amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa amekamatwa na jeshi la Polisi baada ya kumtia...

Aslay, Nandy kuburuzwa mahakamani
Nywele za kijani zampa dili nono Ben Pol
TAZAMA VIDEO MPYA YA MAROMBOSO(MBOSSO-WATAKUBALI




Mwanamuziki wa Singeli nchini, Dullah Makabila amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni kuwa amekamatwa na jeshi la Polisi baada ya kumtia ujauzito mwanafunzi. 

Makabila amesema kuwa habari hizo si za kweli ila kuna watu wasiopenda mafanikio yake ndiyo wanasambaza taarifa mbaya kama hizo wakati siyo kweli na hana skendo kama hilo. 

Makabila amesema kuwa taarifa hizo amezipata wakati anarudi kufanya show mkoani Iringa baada ya kupigiwa simu na meneja wa Diamond, Mkubwa Fella kuhusu habari hizo.
Makabila ameendelea kusema kuwa habari hizo zilimshtua sana mpenzi wake pamoja na familia yake lakini walimuelewa baada ya kubaini habari hizo si za kweli. 

Habari za mwanamuziki huyo kukamatwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii huku wengine wakifika mbali kwa kusema kuwa tayari Dulla Makabila amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa hilo.
Mwanamuziki huyo kwasasa anatamba na wimbo wake unaoitwa ‘Kuingizwa’ ambao unafanya vizuri katika vituo vya radio nchini.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanamuziki Dullah Makabila Akabiliwa na Kesi ya Kubaka..Mwenyewe Akanusha
Mwanamuziki Dullah Makabila Akabiliwa na Kesi ya Kubaka..Mwenyewe Akanusha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEikFiJJ02KYRbCLWk-qV0nTOwRowni06Y5jZAh3GKlhIsH_AcvYrrjz7QWz5htj_WaMSGXDv-zc38nbWK84_RMDdfyNHWziriH0j-NnWv7EsxSC8ZwJKlBJY70VCpbYVU3lIs9MDSZId6c/s640/%255BUNSET%255D
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEikFiJJ02KYRbCLWk-qV0nTOwRowni06Y5jZAh3GKlhIsH_AcvYrrjz7QWz5htj_WaMSGXDv-zc38nbWK84_RMDdfyNHWziriH0j-NnWv7EsxSC8ZwJKlBJY70VCpbYVU3lIs9MDSZId6c/s72-c/%255BUNSET%255D
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/mwanamuziki-dullah-makabila-akabiliwa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/mwanamuziki-dullah-makabila-akabiliwa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy