http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

JPM atishia kuwatimua wanafunzi SUA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema hatosita kufukuza wanafunzi wa chuo watakaobainika kufanya vurugu ...

Rais Uhuru kenyata apata mpinzani mpya
Polisi wavamia mkutano wa Shekh Ponda
DC ARUSHA MJINI AWATAKA WANANCHI KUJIANDIKISHA VITAMBULISHO VYA TAIFA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amesema hatosita kufukuza wanafunzi wa chuo watakaobainika kufanya vurugu shuleni na kuacha kuzingatia masomo, na suala hilo sio vitisho bali ni ukweli mtupu.


Rais Magufuli ameyasema hayo leo alipokuwa kwenye ziara yake Chuo Kikuu cha Kilimo cha SOkoine (SUA) mkoani Morogoro, na kuwataka wanafunzi wote vyuoni kuzingatia masomo yao, na sio kujihusisha na vurugu hasa za kisiasa, kwani akigundua hilo atafukuza wote hata kama ni chuo kizima, na iwapo atafanya hivyo, hajui kama atawarudisha tena chuoni.

"Niwaombe ndugu zangu, mmekuja hapa kwa ajili ya shule, msipoteze muda wenu kwenye masuala yasiyo na tija, tumieni muda wenu kwenye masuala ya shule, msigeuze vyuo kuwa sehemu za siasa, siasa mtazikuta tu, pigeni shule msiingie kwenye mikumbo, kila moja ana maisha yake na baba yake na mama yake, someni, pasua, kazingatieni hilo, nataka niwaeleze kiukweli, kama kutatokea chuo chochote kinafanya fujo, mimi wala sitasita kufukuza, na nikifukuza sifahamu ntawarudisha lini, hili siwatishi nawaeleza ukweli", amesema Rais Magufuli.

Rais Magufuli ameendelea kwa kusema kwamba serikali kupitia wizara ya elimu itahakikisha inkilinda chuo cha Sokoine kama mboni ya jicho, kutokana na upekee ulionacho chuo hiko.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : JPM atishia kuwatimua wanafunzi SUA
JPM atishia kuwatimua wanafunzi SUA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivXUNSeNp9_Dz9V5ZyD8lfnymB37og14QoVAabVCqPSnOjMjF64Ni0pgTFPLUZTMeAX31b8lzVKDcc4u9NL9RmwthIAJHlfesCwrTlCk-qgvEuy54_EJg0XQaiK7o48qaGFYsPj2Vic0g/s640/magafuli.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivXUNSeNp9_Dz9V5ZyD8lfnymB37og14QoVAabVCqPSnOjMjF64Ni0pgTFPLUZTMeAX31b8lzVKDcc4u9NL9RmwthIAJHlfesCwrTlCk-qgvEuy54_EJg0XQaiK7o48qaGFYsPj2Vic0g/s72-c/magafuli.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/jpm-atishia-kuwatimua-wanafunzi-sua.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/05/jpm-atishia-kuwatimua-wanafunzi-sua.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy