http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kiwanda Cha Nguo Cha 21st Century Chateketea Kwa Moto


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

BAADHI ya mitambo, nguo na malighafi katika Kiwanda cha Nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda, Morogoro vimeteketea kwa moto na kusabab...

Rais Magufuli amteua Mama Ana Mgwira kuwa Mkuu wa Mkoa Wa Kilimanjaro.
Mkurugenzi Kituo cha Utetezi wa Haki za Binadamu akamatwa na Polisi DSM
Bodaboda Achinjwa Kinyama na Kuporwa Pikipiki
BAADHI ya mitambo, nguo na malighafi katika Kiwanda cha Nguo cha 21st Century kilichopo Kihonda, Morogoro vimeteketea kwa moto na kusababisha hasara.

Akizungumzia moto huo Clement Munisi, meneja uzalishaji wa kiwanda hicho amesema kuwa, moto huo ulianza saa 12:00 asubuhi leo katika  mashine moja ya kuzalishia  nguo kwa ulianza kwa kutoa cheche.

Amesema, wafanyakazi walijaribu kuuzima kwa kutumia kifaa maalumu cha kuzima moto (Fire extinguisher ) bila mafanikio yoyote.

Munisi amesema kuwa, moto huo uliunguza baadhi ya mitambo na malighafi zilizokuwa katika chumba kimoja ndani ya kiwanda hicho na kusababisha hasara kubwa.

Amesema kuwa, moto huo uliendelea kuenea katika vyumba vingine ndani ya kiwanda hicho jambo ambalo lililosababisha baadhi ya nguo zilizokuwa zikiendelea kutengenezwa kuungua. Hata hivyo, hajaeleza dhamani halisi ya vitu vilivyoteketea kwa moto.

Ramadhani  Pilipili, Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto  Mkoa wa Morogoro amesema kuwa, licha ya kuwahi kufika mapema katika eneo la tukio na juhudi za kuuzima moto, bado miundombinu ya kiwanda hicho imekuwa  kikwazo.

“Miundombinu ya kiwanda ni tatizo kutokana na kukosekana eneo sahihi la kupitishi mipira ya maji na hivyo kulazimika kutumia muda mwingi kwa kuvunja ukuta ili kufanikisha zoezi la uzimaji,” amesema.


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kiwanda Cha Nguo Cha 21st Century Chateketea Kwa Moto
Kiwanda Cha Nguo Cha 21st Century Chateketea Kwa Moto
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi2MblH13MsnGb-EMANcrMe3EhhncI3viTtkNsB0lI1KIOcSwx0myvfYCrfZvdSmc7BIFvoEyAqG4IcaW4b7nQCgfEWqRVk9QE3F9yfssByzohgXE3RER-OmsRLz8O_6i5Z3TV6cbdz_o/s1600/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgi2MblH13MsnGb-EMANcrMe3EhhncI3viTtkNsB0lI1KIOcSwx0myvfYCrfZvdSmc7BIFvoEyAqG4IcaW4b7nQCgfEWqRVk9QE3F9yfssByzohgXE3RER-OmsRLz8O_6i5Z3TV6cbdz_o/s72-c/1.jpeg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/kiwanda-cha-nguo-cha-21st-century.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/kiwanda-cha-nguo-cha-21st-century.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy