http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mwanzilishi wa tovuti ya JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mwanzilishi wa tovuti ya JamiiForums, Maxence Melo amekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam kwa kukataa kutoa taarifa za watumiaji wa mt...

Chadema yawekewa ulinzi kila kona Dodoma ....Polisi watoa maagizo maalumu kwa wamiliki wa nyumba za wageni, Viongozi wa Bavicha wapandishwa kizimbani
Mwalimu acharangwa mapanga kwa kumpa mimba mwanafunzi
Wanafunzi Chuo Kikuu Kizimbani Kwa Mauaji


Mwanzilishi wa tovuti ya JamiiForums, Maxence Melo amekamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam kwa kukataa kutoa taarifa za watumiaji wa mtandao huo.


Taarifa kutoka kwenye tovuti hiyo zinaeleza kuwa Melo amenyimwa dhamana hivyo atalazimika kukaa rumande mpaka kesho atakapofikishwa mahakamani.


Jeshi la Polisi linadai kuwa Melo amekataa kuonyesha ushirikiano kwa Jeshi hilo ambapo walikuwa wakihitaji majina ya baadhi ya watumiaji wa mtandao huo.


JamiiForums wameeleza kuwa kiongozi huyo (Maxence) alikataa kutoa taarifa hizo kwa kile alichoeleza kuwa kufanya hivyo ni uvunjwaji wa Sheria na Haki za wananchi.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mwanzilishi wa tovuti ya JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi
Mwanzilishi wa tovuti ya JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_BUCjmNEcrV-KB1C9WVyA49pLSKSco_oJMQejRiTAVwjaQQZhW5L1y-4fVTpWgq57EI9SIPWAfNFXAKLdZILxAz-7XAc9jo2RRzF3QwMo-DuZTHPK251vXkCSiUqq0H-t7fU4CaEC4Xw/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_BUCjmNEcrV-KB1C9WVyA49pLSKSco_oJMQejRiTAVwjaQQZhW5L1y-4fVTpWgq57EI9SIPWAfNFXAKLdZILxAz-7XAc9jo2RRzF3QwMo-DuZTHPK251vXkCSiUqq0H-t7fU4CaEC4Xw/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/mwanzilishi-wa-tovuti-ya-jamiiforums.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/12/mwanzilishi-wa-tovuti-ya-jamiiforums.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy