http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

TCU kuanza kudahili wanafunzi wa kujiunga vyuo vikuu kesho


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), itaanza kudahili wanafunzi waliomaliza kidato cha sita wanaoomba kujiunga na vyuo vikuu kuanzia kesho...

Ikulu Yakanusha Taarifa Dhidi Ya Waziri Hamis Kigwangala
GAZETI LA TANZANITE KITANZINI KWA HABARI ZISIZO NA WEREDI
Basi la Ndenjela Limepata Ajali Kitonga, Iringa

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), itaanza kudahili wanafunzi waliomaliza kidato cha sita wanaoomba kujiunga na vyuo vikuu kuanzia kesho. 

Akizungumza jana, Kaimu Mkurugenzi wa Udahili na Nyaraka wa TCU, Dk Kokubelwa Mollel alisema udahili kwa wenye diploma utaanza Julai 31. 

Dk Mollel alisema kazi hiyo itaendelea kwa mwezi mzima ili kuruhusu wananchi wengi zaidi kupata fursa ya kuomba kudahiliwa na udahili huo utafanyika kwa njia ya mtandao.

Alisema ili wanafunzi waweze kuelewa programu zinazotolewa na vyuo vikuu, tume hiyo imeandaa maonyesho ya 11 yatakayofanyika kuanzia Julai 20 hadi 22, mwaka huu. 

Alisema maonyesho hayo yatafanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam na kufunguliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : TCU kuanza kudahili wanafunzi wa kujiunga vyuo vikuu kesho
TCU kuanza kudahili wanafunzi wa kujiunga vyuo vikuu kesho
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi82OFKYYQkdmSnOECHdSxvTM7XXCO4BpsPHlhJipy1o9cTZLpjitY1PzL49ctv7_v3Y_Cy_MAt-V_pLx2ATQTiPy1zysLTBwZEP3_imbhx4j6RGMnSWCQw-coELIpyjRsDIeu2yiTpPzE/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi82OFKYYQkdmSnOECHdSxvTM7XXCO4BpsPHlhJipy1o9cTZLpjitY1PzL49ctv7_v3Y_Cy_MAt-V_pLx2ATQTiPy1zysLTBwZEP3_imbhx4j6RGMnSWCQw-coELIpyjRsDIeu2yiTpPzE/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/tcu-kuanza-kudahili-wanafunzi-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2016/07/tcu-kuanza-kudahili-wanafunzi-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy