Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Maje kuanzia leo kwa kilichoelezwa kushin...
Rais John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa Mohamed Maje kuanzia leo kwa
kilichoelezwa kushindwa kutimiza majukumu yake.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Tamisemi Mussa Iyombe
inasema Maje amesababishia hasara serikali ikiwamo kushindwa hata
kukusanya mapato ya serikali.
"Hata makusanyo ya mwaka huu hatuhjui anapeleka wapi hadi
leo amekusanya asilimia 24 tu katika halmashari ya kongwa na Mpwapwa
licha ya kuwa na vyazo vingi vya mapato, Iyombe amesema Mkurugebnzi huyo
kwa sasa yupo chini ya uchunguzi.