Makamu mwenyekiti wa almashauri ya Meru Nelson Mafie akizungumza na madiwani katika baraza la leo Na Raymond William Makamu M...
| Makamu mwenyekiti wa almashauri ya Meru Nelson Mafie akizungumza na madiwani katika baraza la leo |
Na Raymond
William
Makamu
Mwenyekiti wa almashauri ya wilya ya meru, Nelson Mafie ametoa angalizo kwa
mkurugenzi wa almashauri hiyo kujiadhari na makundi yanayoleta taarifa ya
upotoshaji na kukwamisha maendelea ya wilaya hiyo.
Ameyasema
hayo leo alipokuwa akifunga kikao cha baraza la madiwani cha kwanza cha
kujadili bajeti ya mwaka 2018/19 ya wilaya ya meru na kumuomba mkurugenzi
kuepuka watu wanaoleta taarifa za upotoshaji katika ofisi yake.
Nelson
ameeleza mafanikio makubwa ya baraza hilo ni kukusanya kiasi cha fedha ambacho
ni mafanikio makubwa kwao ikilinganishwa na mwaka ulipita kutoka kiasi cha
billion 2.8 hadi bilioni 4
Hataivyo
ametoa onyo kwa wanachama wanaovaa sare za chama chao wakati wakiwa katika kazi
za kujitolea kuwa aijengi na badala yake uchochea vurugu na kukwamisha
maendeleo ya wananchi.



