http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Mbowe na Viongozi Wengine Wavamia Ofisi za NEC Kushinikiza Haya

Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama wamekwenda ofisi ya NEC kushinikiza wapewe viapo na vitambulisho vya mawaka...


Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe na viongozi wengine wa chama wamekwenda ofisi ya NEC kushinikiza wapewe viapo na vitambulisho vya mawakala wao, huku wakidai mawakala wa CCM wameshapewa
-
Msafara huo wa viongozi ulipofika ofisi hizo kwa lengo la kukutana na Mkurugenzi wa Tume hiyo, Ramadhan Kailima waligonga mwamba baada ya watumishi wa NEC kudai kuwa Mkurugenzi huyo hayupo ofisini
-
Viongozi hao waligoma kuondoka katika ofisi hiyo mpaka baadae Mbowe alipoongea na Mkurugenzi huyo kwa simu na kukubaliana mambo kadhaa
-
Mbowe alisema amefika ofisini hapo kutokana na kuwa na mawasiliano madogo na NEC. Kailima ameahidi kuzungumza na wenzake katika Tume kuona watafanya nini na kuwajibu CHADEMA leo jioni kwa njia ya simu na maandishi
-
Miongoni mwa viongozi waliokuwepo ni Halima Mdee, Esther Bulaya, John Heche, Peter Msigwa, John Mnyika na mgombea wa Jimbo la Kinondoni, Salim Mwalim

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mbowe na Viongozi Wengine Wavamia Ofisi za NEC Kushinikiza Haya
Mbowe na Viongozi Wengine Wavamia Ofisi za NEC Kushinikiza Haya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizDm7bo7yjTQ3M9UV-k5r1ra8AkBJ6EOpMmWEZo312mu2HfxsYgpZtlNh736NCiE4IZBuEmELcl6u_W3G3z06nQ7qEhYd7RuCB8T5V_0BSgVumHLmFWBypxxZxh7ISBCuOiJBLhNVJxVz6/s1600/mbiow.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizDm7bo7yjTQ3M9UV-k5r1ra8AkBJ6EOpMmWEZo312mu2HfxsYgpZtlNh736NCiE4IZBuEmELcl6u_W3G3z06nQ7qEhYd7RuCB8T5V_0BSgVumHLmFWBypxxZxh7ISBCuOiJBLhNVJxVz6/s72-c/mbiow.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/mbowe-na-viongozi-wengine-wavamia-ofisi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/mbowe-na-viongozi-wengine-wavamia-ofisi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy