MWANZA: Mahakama imemhukumu miaka 30 jela na faini ya laki 8 Afisa Mtendaji Kata ya Makuyuni kwa kumbaka na kumlawiti Mtoto wa miaka 11 ...
MWANZA: Mahakama imemhukumu miaka 30 jela na
faini ya laki 8 Afisa Mtendaji Kata ya Makuyuni kwa kumbaka na kumlawiti
Mtoto wa miaka 11 Mwanafunzi wa Darasa la 3 katika Shule ya Msingi
Nyabulogoya
Afisa Mtendaji, James Chiragwire(42) alikamatwa mnamo Novemba mwaka 2016. Mtendaji huyo wa Kata alikuwa na mazoea ya kumchukua Mtoto huyo na kuingia naye ndani kwake na kumpatia fedha na zawadi ndogondogo
Siku moja alipofika nyumbani kwao na alimkuta Mtoto huyo peke yake alimchukua na kumfunga kitambaa usoni kisha akaingia naye ndani kwake na kumfanyia ukatili huo.
Mtoto huyo aliyefanyiwa uchunguzi na daktari na kubainika kweli ameingiliwa kimwili na hatimaye kulazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza ya Sekou Toure alikopatiwa matibabu