http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Polisi aliyeua kwenye maandamano ahukumiwa maisha

Mahakama ya kijeshi nchini Kongo imemfunga kifungo cha maisha jela ofisa wa polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi mshiriki wa maandamano ...

Mahakama ya kijeshi nchini Kongo imemfunga kifungo cha maisha jela ofisa wa polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi mshiriki wa maandamano ya kumpinga Rais Joseph Kabila.
Ofisa usajili katika mahakama ya kijeshi Kaskazini Magharibi mwa DRC aliliambia shirika la AFP Ofisa wa polisi Agbe Obeid amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kumpiga risasi kwa karibu na kumuua Eric Boloko Jumapili, Februari 25, eneo la Mbandaka.
Maandamano hayo yalipangwa kutokana kwanza na kushindwa kwa Kabila kung’atuka baada ya muhula wake wa pili wa miaka mitano kumalizika Desemba 2016 na pili kuchelewa kwa uchaguzi ambao sasa umepangwa kufanyika mwisho wa 2018.
Boloko alikuwa mmoja wa watu wawili walioripotiwa kuuawa na vikosi vya usalama wakati wa maandamano ya mwishoni mwa wiki katika miji ya DRC yaliyozuiwa na utawala wa Kabila lakini yaliungwa mkono na Kanisa la Katoliki lenye ushawishi mkubwa.
Maandamano yaliyofanyika Mbandaka Desemba 31 na Januari 21 yaliyoandaliwa na wasomi wa kanisani yalisababisha watu 15 kuuawa baada ya kumiminiwa risasi na vikosi vya usalama.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Polisi aliyeua kwenye maandamano ahukumiwa maisha
Polisi aliyeua kwenye maandamano ahukumiwa maisha
https://www.eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2018/02/28/hukumuuuu.jpg?itok=wLqSCwqR×tamp=1519832148
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/polisi-aliyeua-kwenye-maandamano.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/polisi-aliyeua-kwenye-maandamano.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy