http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Kizimbani Akidaiwa Kumtukana Rais Magufuli na Makamu wa Rais...!

Mtunza bustani Maganga Masele, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kutoa lugha ya matu...


Mtunza bustani Maganga Masele, amefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kutoa lugha ya matusi dhidi ya Rais John Magufuli na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu utendaji wao wakuliongoza taifa.


Wakili wa Serikali Lucy Mallya amesema kuwa Desemba 22, mwaka jana Masele akiwa Leaders Club Kinondoni jijini Dar es salaam, alitoa lugha ya matusi dhidi ya Rais Magufuli na Samia, maneno ambayo yangeweza kuleta uvunjifu wa amani.


Hata hivyo baada ya kusomewa mashtaka hayo, Masele alikana kuhusika na tuhuma hizo, ambapo Mallya alidai kuwa upelelezi haujakamilika pia hakuna pingamizi la dhamana kwa kuwa kisheria kosa hilo linadhaminika.


Kwa upande wake Hakimu Mwijage amesema kuwa ili mshitakiwa awe nje kwa dhamana ni lazima awe na mdhamini mwenye barua yenye utambulisho atakayesaini bondi ya sh 500,000.


Masele amekamilisha masharti na kuachiwa kwa dhamana,na kesi yake itatajwa Januari 24

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kizimbani Akidaiwa Kumtukana Rais Magufuli na Makamu wa Rais...!
Kizimbani Akidaiwa Kumtukana Rais Magufuli na Makamu wa Rais...!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7F6eztgym7-2AFjt7jaHz7mWpCSpIzC94rZZP0Kusu8S0JgSX35ffLpFcSy602S_Y_46Urx9nT-t6aortAL204lIu1C3qOR3pd74OzEhTlHjuL0bK1nHKHZN9XFwTAwq-g65gIYyi8Ow/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7F6eztgym7-2AFjt7jaHz7mWpCSpIzC94rZZP0Kusu8S0JgSX35ffLpFcSy602S_Y_46Urx9nT-t6aortAL204lIu1C3qOR3pd74OzEhTlHjuL0bK1nHKHZN9XFwTAwq-g65gIYyi8Ow/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/kizimbani-akidaiwa-kumtukana-rais.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/01/kizimbani-akidaiwa-kumtukana-rais.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy