http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

HATIMAYE WALIOJERUHIWA KWA RISASI KATIKA MAANDAMANO YA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA

Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ...


Watu watatu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na shtaka la kufanya mkusanyiko isivyo halali.

Hata hivyo, watu hao watatu wameunganishwa katika kesi ya wafuasi 28 wa CHADEMA ambao walifikishwa mahakamani hapo wiki iliyopita.

Washtakiwa hao watatu walisomewa kosa lao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Godfrey Mwambapa na Wakili wa Serikali, Patrick Mwita.

Wakili Mwita aliwataja washtakiwa hao watatu kuwa ni Isack Ng’aga, Erick John na Aida Olomi.

Wakili Mwita amedai washtakiwa hao, March 8, 2018 wataunganishwa na wenzao 28, ambao walifikishwa mahakamani hapo wiki iliyopita.

Kwa pamoja wanadaiwa kuwa February 16, 2018 huko Kinondoni katika eneo la Mkwajuni lililopo katika Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, walifanya mkusanyiko usio wa Halali kinyume cha sheria.

Inadaiwa kuwa mkusanyiko huo ulikuwa na nia ya kufanya uvunjifu wa amani na kusababisha Taharuki kwa wananchi.

Washtakiwa wote walikana shtaka hilo na wapo nje kwa dhamana kwa kila mshtakiwa kuwa na mdhamini mmoja ambaye alisaini ahadi ya Shilingi Milioni 1. 5 na wasitoke nje ya jiji la Dar es Salaam bila ya kuwa na kibali cha mahakama. Upelelezi bado haujakamilika. Kesi imeahirishwa hadi March 8,2018.



COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : HATIMAYE WALIOJERUHIWA KWA RISASI KATIKA MAANDAMANO YA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA
HATIMAYE WALIOJERUHIWA KWA RISASI KATIKA MAANDAMANO YA CHADEMA WAACHIWA KWA DHAMANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgF8J394sEm0NbF6EYTMm3aqFhPTubaXnR8iSt-PjOYrZbOtCjlXj29HSD7scuIBGGjehehc3VVywEOhFebr_ouSnPX95kAK41s4dizvIn5YNwI4zSAKD_-TkEPnn1KC1_6ALEUs33T8Wk/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgF8J394sEm0NbF6EYTMm3aqFhPTubaXnR8iSt-PjOYrZbOtCjlXj29HSD7scuIBGGjehehc3VVywEOhFebr_ouSnPX95kAK41s4dizvIn5YNwI4zSAKD_-TkEPnn1KC1_6ALEUs33T8Wk/s72-c/1.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/hatimaye-waliojeruhiwa-kwa-risasi.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/hatimaye-waliojeruhiwa-kwa-risasi.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy