http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Kilimanjaro, Mama amchinja mwanaye wa miezi tisa


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

mkoani Kilimanjaro katika wilaya ya Mwanga ni mtoto Hashim Ally Msuya ambaye ni wa umri wa miezi tisa amechinjwa na mama yake mzazi. M...

VIDEO- RC Gambo amcharukia Askofu Kakobe, "anafanya umbulula"
Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela
Matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2017 pasua kichwa

mkoani Kilimanjaro katika wilaya ya Mwanga ni mtoto Hashim Ally Msuya ambaye ni wa umri wa miezi tisa amechinjwa na mama yake mzazi.

Mama huyu aliyetambulika kwa jina la Hadija Msangi alimchinja mwanaye huyo akiwa chumbani na kisha kumuweka ndani ya mfuko wa salfeti na kisha khifadhi chini ya kitanda. Mpaka sasa mwili wa mtoto umekwisha fanyiwa uchunguzi na umeshakabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya mazishi.

Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamisi Issah ameeleza kuwa mwanamke huyu tayari anashikiliwa na Jeshi la Polisi na kuwa inadaiwa mama huyu ana tatizo la ugonjwa wa akili.

Kamanda Issah pia amegusia matukio mengine ikiwa ni pamoja na la mwanamke aliyepotea na kukutwa  amedumbukia kwenye korongo na lile la kifo cha Mwenyekiti wa Kitongoji cha Miembeni Wilaya ya Hai baada ya kukutwa kwenye kibanda cha kuuza samaki akiwa amefariki bila kuwa na jeraha lolote.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Kilimanjaro, Mama amchinja mwanaye wa miezi tisa
Kilimanjaro, Mama amchinja mwanaye wa miezi tisa
http://millardayo.com/wp-content/uploads/2018/02/RPC-660x400.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/kilimanjaro-mama-amchinja-mwanaye-wa.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/02/kilimanjaro-mama-amchinja-mwanaye-wa.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy