http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela

IKIWA ni siku moja baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,  ametuni...


IKIWA ni siku moja baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli,  ametunikiwa Tuzo ya Amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) huko nchini Afrika Kusini, huku kukikosekana taarifa rasmi kutoka kwa waandaaji wa tuzo hizo.
Leo Alhamisi, Desemba 28, 2017 kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi cha Radio  E-FM, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais (Ikulu), Gerson Msigwa, amesema kuwa hana taarifa yoyote juu ya tuzo hiyo.
“Mimi sina taarifa zozote kwa sababu mtu anapotoa tuzo si lazima awasiliane na mtu anayempa tuzo, wao wanakuwa na vigezo vyao kadiri ya watu walivyowapima viongozi.  Mimi sina information zozote kwa hiyo ni vizuri mngewatafuta hao Nelson Mandela wenyewe hicho chuo waweze kuwaeleza tuzo hizo taarifa wanakuwa nazo vyuo wenyewe,“ amesisitiza Msigwa.
Hata hivyo tayari Wakfu wa Nelson Mandela nchini Afrika Kusini umebainisha kuwa haukuandaa, kusimamia wala kutoa tuzo hizo, ambazo zimeripotiwa katika vyombo mbalimbali ya habari nchini Tanzania, Kenya na Burundi jana Desemba 27, 2017.

COMMENTS


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAGAZETI$type=sticky$count=4


Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela
Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela
https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/12/tanzanian-president-john-pombe-magufuli.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFDXyA3hhUzpMgHRb2y6_vRTGTEhhLeRP6xHCxKlw-aWtqlpzi36HAZaFEuLdORjuMjskQmhal80-gYKlXrPP-VgWAz-Yp0r8QUQW6jnKNk9h4rOhRHj-VFMWZRa0aCqwPuS8KuXBhzvcy/s72-c/Capture.PNG
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/12/ikulu-haina-taarifa-ya-jpm-kushinda.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/12/ikulu-haina-taarifa-ya-jpm-kushinda.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy