eshi
la polisi mkoani Shinyanga linamshikilia mzee Kachuka Malongo mwenye
umri wa miaka 90, kwa tuhuma za kuwabaka wanafunzi watano wa shule ya
msingi kwa nyakati tofauti tofauti.
Akizungumza
na vyombo vya habari Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Simon Haule
amesema kwamba wanafunzi hao ni wenye umri wa miaka minane hadi 12, na
alikuwa akiwarubuni kwa kuwapa pipi na pesa, kutokana na uchu wa mapenzi
aliokuwa nao.
“Tumebaini chanzo cha tukio hilo kuwa ni tamaa na uchu wa mapenzi,
kwa hiyo tunamshikilia mtuhumiwa kwa mahojiano zaidi na uchunguzi
ukikamilika tutampeleka mahakamani”, amesema Kamanda Haule.
Kamanda Haule aliendelea kwa kusema kwamba taarifa za watoto hao
kufanyiwa vitendo hivyo vya ukatili walizipata kwa mkazi wa eneo hilo
Amada Mganyizi, na ndipo walipoamua kuzifuatilia na kumkamata mtuhumiwa.
Pia Kamanda Haule amewataka wazai kuwa makini na karibu na watoto wao, ili kubaini matatizo yao au jambo lolote linapowatokea
Karibu kwa huduma za kiroho pamoja na kumuabudu Mungu kwa pamoja aliye hai, katika kanisa la Tanzania Assemblies Of God, kanisa linalochungwa na mtumishi wa Mungu Meshack Mioki.
Not found any postsVIEW ALLReadmoreReplyCancel replyDeleteByHomePAGESPOSTSView All
USIPITWE NA HIZI HAPA CHINILABELARCHIVESEARCHALL POSTSNot found any post match with your requestBack HomeSundayMondayTuesdayWednesdayThursdayFridaySaturdaySunMonTueWedThuFriSatJanuaryFebruaryMarchAprilMayJuneJulyAugustSeptemberOctoberNovemberDecemberJanFebMarAprMayJunJulAugSepOctNovDecjust now1 minute ago$$1$$ minutes ago1 hour ago$$1$$ hours agoYesterday$$1$$ days ago$$1$$ weeks agomore than 5 weeks agoFollowersFollowTHIS CONTENT IS PREMIUMPlease share to unlockCopy All CodeSelect All CodeAll codes were copied to your clipboardCan not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy