Kijana Joseph Koech mwenye umri wa miaka 25 auawa kwa kushambuliwa na Wananchi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Ng'ombe Kijana...
Kijana Joseph Koech mwenye umri wa miaka 25 auawa kwa kushambuliwa na Wananchi baada ya kukutwa akifanya mapenzi na Ng'ombe
Kijana huyo alijitetea kuwa alilazimika kufanya hivyo
kwasababu anawaogopa Wasichana kwakua wengi wana UKIMWI. Kijana huyo
anadaiwa kumfunga miguu na pembe Ng'ombe huyo kabla ya kuanza
kumuingilia
Aliwasihi watu hao wasimuue wamuache alipe gharama za kosa
hilo kwa kutoa kipande chake cha ardhi lakini ombi lake halikusikilizwa
Kutokana na kuvuja damu nyingi alifariki mara baada ya kufikishwa Hospitali ya Eldama-Ravine