Rais Nicolas Maduro wa Venezuella Rais wa Venezuella, Nicolas Maduro, amesema yuko tayari kuongeza mamlaka yake chini ya utawala wa...
| Rais Nicolas Maduro wa Venezuella |
Rais wa Venezuella, Nicolas Maduro,
amesema yuko tayari kuongeza mamlaka yake chini ya utawala wa hali ya
hatari iliyotangazwa wiki iliyopita.



