MAREKANI: Rais Trump amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje, Rex Tillerson na kumteua Mike Pompeo kuchukua nafasi hiyo - Aidha Gina Haspel ...
MAREKANI: Rais Trump amemfuta kazi Waziri wa Mambo ya Nje, Rex Tillerson na kumteua Mike Pompeo kuchukua nafasi hiyo
-
Aidha Gina Haspel ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa CIA na anakuwa Mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa juu katika taasisi hiyo nyeti ya taifa hilo.
-
Rais kupitia ukurasa wake wa rasmi wa Twitter, Rais Donald Trump amemshukuru bwana Rex Tillerson kwa huduma yake na kusema kuwa Waziri mpya aliyemteua atafanya kazi nzuri