http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuanza kusikiliza kesi ya kuminya uhuru wa vyombo vya habari


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

MAHAKAMA ya Afrika Mashariki Mapema leo imekubali maombi yaliyowasilishwa mahakamani ya kupinga vipengere kadhaa vya sheria ya huduma ya ha...

75,000 waanza mtihani kidato cha sita
Rais Magufuli atimiza ahadi kwa kushusha kodi kwa wafanyakazi hadi asilimia 9
UMOJA WA WANAUME WA KRISTO C.M.F IMESHEREEKEA SHEREHE ZAKE ZA KILA MWAKA IFIKAPO TAR 1 MEI




MAHAKAMA ya Afrika Mashariki Mapema leo imekubali maombi yaliyowasilishwa mahakamani ya kupinga vipengere kadhaa vya sheria ya huduma ya habari vinavyokiuka mkataba wa habari wa jumuia ya Afrika mashariki

Kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2017 imefunguliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) , Kituo cha Msaada wa sheria na haki za binadamu (LHRC) na mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania (THRDC) wakilalamikia ukandamizaji wa uhuru wa habari .

Akizungumza nje ya mahakama mapema leo,katibu wa baraza la habari Tanzania,Kajubi Mwakajanga ameipongeza mahakama hiyo kwa hatua ya kupokea na kukubali maombi yao ,tayari kwa kuanza utaratibu wa usikilizwaji wa awali.

Amesema kesi hiyo imepangwa kuanza kusikilizwa April 13,mwaka huu ambapo waleta maombi watapaswa kuleta viapo na baada ya hapo tarehe 14 Mei wajibu maombi ambao ni upande wa serikali watapaswa kuleta utetezi wao

Mwakajubi na wenzake wanaiomba mahakama hiyo itamke kwamba vipengere hivyo vinakiuka mkataba wa jumuia ya Afrika masharika na kuilazimisha serikali kuvifuta kabisa.

Kesi hiyo inasikiliswa na Jopo la majaji wapatao watatu ambao ni jaji kiongozi wa mahakama ya jumuiya ya afrika Mashariki Monika Mugenyi ,Jaji Fakihi Jundu na Jaji Dkt Fustin Ntezi lyayo

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuanza kusikiliza kesi ya kuminya uhuru wa vyombo vya habari
Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuanza kusikiliza kesi ya kuminya uhuru wa vyombo vya habari
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUZvk8NOsEDNSOHckE1LJyd10W-MsMu96fEmyycSAuoF1muWfPnk00yHNK4r5dMQ7qoswEBYdOHBDANMWs_c_ilwAidBffRIlBsw7Si6XMt-kdJr6c3rSeKQfU-N3kQp9mYC9ueR8Rq1bh/s640/6J_8rf7f3N9R214_70dTa-PpFwJnG6-0Cb2Q9OhfV9Vb6jb61E_dkmc2YnRlXKZ4piaW6p5QyM_QKphErFwFfzUELQ8ymgfjjEUYmVPw2tMyIYv8AOPnmuchUtsZvQ8Z0HBQb6m22QEUMzrhtSIq2w%253Dw495-h297-nc+%25281%2529.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUZvk8NOsEDNSOHckE1LJyd10W-MsMu96fEmyycSAuoF1muWfPnk00yHNK4r5dMQ7qoswEBYdOHBDANMWs_c_ilwAidBffRIlBsw7Si6XMt-kdJr6c3rSeKQfU-N3kQp9mYC9ueR8Rq1bh/s72-c/6J_8rf7f3N9R214_70dTa-PpFwJnG6-0Cb2Q9OhfV9Vb6jb61E_dkmc2YnRlXKZ4piaW6p5QyM_QKphErFwFfzUELQ8ymgfjjEUYmVPw2tMyIYv8AOPnmuchUtsZvQ8Z0HBQb6m22QEUMzrhtSIq2w%253Dw495-h297-nc+%25281%2529.jpeg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mahakama-ya-jumuiya-ya-afrika-mashariki.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2018/03/mahakama-ya-jumuiya-ya-afrika-mashariki.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy