Breaking News. watano wahaofiwa kufa kwa kufukiwa na kifusi cha Moramu, katika kata ya Muriet jijini Arusha Watu watano wanaojishughulisha ...

Breaking News.
watano wahaofiwa kufa kwa kufukiwa na kifusi cha Moramu, katika kata ya Muriet jijini Arusha
Watu watano wanaojishughulisha na kuchimba Mchanga aina ya Moramu eneo LA Muriet kwa Morombo jijini Arusha ,wanahofiwa kufa Mara baada ya kuanguka kwa ngema na kuwafukia.
Diwani Wa kata hiyo ,Francis Mbise amethibitisha na yupo eneo LA tukio muda huu Wa mchna



