http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

AUAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUKUTWA NA MKE WA MTU CHUMBANI SINGIDA


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Idd Selemani, (40), Mkazi wa Jineri katika Manispaa ya Singida ameuwa kwa kuchomwa na kisu sehemu m...

Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi
Askari wa JWTZ Auwawa kwa Kupigwa Risasi
JESHI LA POLISI LAKAMATA WASIOJULIKANA WATANO DAR



Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Idd Selemani, (40), Mkazi wa Jineri katika Manispaa ya Singida ameuwa kwa kuchomwa na kisu sehemu mbalimbali za mwili wake na Mtuhumiwa aitwaye Khalid Rajabu, (45), fundi viatu na Mkazi wa Jineri baada ya mtuhumiwa huyo kumkuta akiwa na mke wake chumbani kwake.

Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake leo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SSP Isaya Mbughi amesema tukio hilo limetokea jana majira ya saa majira ya saa 9:30 alasiri.

Ameeleza kuwa mbinu aliyoitumia mtuhumiwa kufanya tukio hilo kuwa ni kumvizia marehemu akiwa na mke wa mtuhumiwa aitwaye Mariam Ibrahimu, (25) mkazi wa Jineri wakiwa chumbani kwa mtuhumiwa ambapo mtuhumiwa huyo aliingia chumbani kwake kisha kufunga mlango na kuanza kumshambulia Marehemu na kumsababishia majeraha kisha kufariki muda mfupi wakati akipelekwa Hospitali ya Mkoa Singida.

Amesema chanzo cha mauaji hayo kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Jeshi la Polisi linawashikilia watuhumiwa Khalid Rajabu na mke wake kwa mahojiano na baada ya mahojiano kukamilika watuhumiwa watafikishwa Mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili.

Kaimu Kamanda ametoa wito kwa Wananchi wote kwa kuwataka kuacha kujichukulia sheria mkononi bali watoe taarifa vituo vya Polisi pindi wanapopata migogoro yenye utata ili kuchukua hatua za kisheria na kuongeza kuwa wazazi/wanandoa wanatakiwa kuwa waaminifu katika ndoa zao ili kuepusha migogoro inayoweza kuleta athari.

Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : AUAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUKUTWA NA MKE WA MTU CHUMBANI SINGIDA
AUAWA KWA KUCHOMWA KISU BAADA YA KUKUTWA NA MKE WA MTU CHUMBANI SINGIDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpy9VuPUFa3BLrzmg9dI4i_Z45li9DAM9XYcL-WiI_uakhkSlTgHo6IWHYlOahybLTgHZjg5sEC-pV5-ZeubJ6jY-VoDeuwlJxbLkrl5tZ3UGhUBj6589BR8GmsVXrBcaX1XnF6uKd67Xw/s640/MAUAJI+SCENE.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpy9VuPUFa3BLrzmg9dI4i_Z45li9DAM9XYcL-WiI_uakhkSlTgHo6IWHYlOahybLTgHZjg5sEC-pV5-ZeubJ6jY-VoDeuwlJxbLkrl5tZ3UGhUBj6589BR8GmsVXrBcaX1XnF6uKd67Xw/s72-c/MAUAJI+SCENE.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/auawa-kwa-kuchomwa-kisu-baada-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/auawa-kwa-kuchomwa-kisu-baada-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy