http://wepesimedia.blogspot.com/p/blog-page.html

post-feature-image

Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi


TANGAZA NASISI KWA BEI NAFUU NA UPATE MATOKEO MAZURI KATIKA BIASHARA YAKO.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza ajira za walimu wa shule za msingi...

Kesi ya Gwajima kupamba moto tena Mei 2
Magufuli asafiri nje kwa mara ya kwanza
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetangaza ajira za walimu wa shule za msingi kwa walimu ambao wamemaliza masomo yao mwaka 2014/2015 katika ngazi ya cheti (III A).


Taarifa iliyotolewa na Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kuthibitishwa na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas imesema kuwa walimu ambao wamemaliza mwaka 2014/2015 na walituma maombi yao kwenye tangazo la kazi ya Agust 10, 2017 hawatakiwa kuomba upya kwani barua zao zinafanyiwa kazi.



Name

BIASHARA NA UCHUMI BREAKING NEWS BURUDANI ENGLISH NEWS GOSIIP GOSPEL HABARI HABARI PICHA MAGAZETI MAKALA MATUKIO MICHEZO MUSIC VIDEO WAZO LANGU
false
ltr
item
WEPESI MEDIA : Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi
Serikali yatangaza nafasi za kazi ya ualimu wa Shule ya Msingi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgp9mGCv5FbYsoAE3JB9gebj8tRxdbEnTJ5IlLHAjF_2k7zPVbavpKDLfuvOLGqKjkn5SHqYftOkJrzU6opziSk8IQWKS6vuLlCv2I8Bsa4arhxh4sKx-6KB5Fn8e-Xrh-3qSO84POcMXP3/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgp9mGCv5FbYsoAE3JB9gebj8tRxdbEnTJ5IlLHAjF_2k7zPVbavpKDLfuvOLGqKjkn5SHqYftOkJrzU6opziSk8IQWKS6vuLlCv2I8Bsa4arhxh4sKx-6KB5Fn8e-Xrh-3qSO84POcMXP3/s72-c/3.jpg
WEPESI MEDIA
https://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/serikali-yatangaza-nafasi-za-kazi-ya.html
https://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/
http://wepesimedia.blogspot.com/2017/09/serikali-yatangaza-nafasi-za-kazi-ya.html
true
925270315725722404
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All

USIPITWE NA HIZI HAPA CHINI LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy